# Yabeshi-gileadi Hili ni jina la mji. # kulala na mwanaume Hiki ni kitendo cha kuwa na uhusiano wa kimapenzi. # Wanawake mia nne "wanawake 400"