# wa sababu ya sanduku la agano la Mungu ... akihudumia mbele ya sanduku siku hizo Mwandishi anatueleza ni kwa namna gani watu waliomba msaada kwa Bwana. # lilikuwapo siku hizo "lilikuwepo Batheli siku hizo" # akihudumia mbele ya sanduku "akihudumu kama kuhani mbele ya sanduku" # Wapigeni "Wapigeni jeshi la Benyamini"