# Usikae Neno hili linasisitiza kuwa hakutaka Mlawi akae. # Njia kuu Hii inamaanisha njia kuu za mji pia ni sehemu ya soko ambayo watu hukusanyika wakati wa mchana. # akamleta Mlawi nyumbani kwake Hii inamaanisha kuwa akamkaribisha Mlawi ashinde nyumbani kwake usiku ule.