# Wabenyamini Hawa ni uzao wa Benyamini. # Aliinua macho Hapa mtu aliangalia kwa makini kuona kilichopo pembeni yake. "alitizama juu" # Njia kuu ya mji Ni sehemu ya soko ambayo watu hukusanyika wakati wa mchana, ni njia kuu za mji.