# Jitie nguvu mwenyewe, na usubiri mpaka alasiri Baba mkwe alitoa mawazo kuwa ajipe nguvu kwa kula chakula. Pia alimuomba asubirie mpaka alasiri ndipo aondoke.