# Katika siku hizo Hii inaonesha mwanzo wa tukio lingine katika simulizi. # mbali "mbali na mahali ambapo watu wengi waliishi" # hakuwa mwaminifu kwake Hii inamaanisha kuwa hakuwa mwaminifu katika mahusiano yao na alianza kulala na wanaume wengine.