# nyumba ya sanamu Hii ni nyumba ambayo ni maalumu kwa ajili ya kuabudu sanamu. "alikuwa na nyumba ya kuabudia sanamu" # kila mtu alifanya yaliyo sawa machoni pake. "kila mtu alifanya kile alichoona kilikuwa sawa"