# kukufunga, ili aweze kukudhibiti "kukufunga ili kukudhibiti" # kamba safi Kamba hutengenezwa kwa kutumia wanyama. kamba safi ni zile ambazo zimetoka kwa mnyama ambaye amechinjwa na hajakauka bado. # ambazo hazijakauka "ambazo hazijawa kavu"