# Bonde la Sereki Hili ni jina la bonde lililokuwa karibu na nyumba ya Samsoni. # Danganya ni kitendo cha kumpotosha mtu ili afanye jambo ambalo hataki kufanya. # ili uone "ili uelewe" au "ili ujifunze" # mahali zilipo nguvu zake kuu "kinachomsababisha awe na nguvu" # kwa namna gani tunaweza kumshinda "kwa jinsi gani tunaweza kumshinda"