# mfupa mbichi Hii inamaanisha kuwa punda alikufa siku za karibuni na mfupa wake haukuanza kuharibika. # watu elfu moja "watu 1,000" # taya ya punda "taya ya punda" # Chungu juu ya chungu Maneno haya yanaelezea ni kwa namna gani Samsoni aliwaua watu wengi sana.