# akaja kwa Samsoni kwa nguvu "akaja" hii inamaanisha kuwa roho wa Bwana alimchochea Samsoni. "akamfanya Samsoni kuwa na nguvu sana" # Akawauwa watu thelathini "Akawauwa watu 30" # watu hao "watu walioishi hapo" # Nyara Vitu vinavyochukuliwa kwa nguvu, hasa baada ya mapigano vitani. # Seti ya nguo "Seti ya nguo alizochukua" # alikasirika "kukasirika sana" # akaenda nyumbani kwa baba yake Samsoni alikuwa Timna ambapo kulikuwa juu kuliko sehemu ambayo nyumba ya baba yake ilikuwepo. # Na mke wake akachukuliwa na rafiki yake "baba wa mke wake alimkabidhi kwa rafiki yake wa karibu" # Rafiki wa karibu "rafiki wa karibu"