# hamkuniokoa Yeftha anawazungumzia watu wa Gileadi pamoja na yeye mwenyewe. # nikaweka uhai wangu na nguvu yangu mwenyewe Hii inamaanisha kuyatoa muhanga maisha yako na kutegemea nguvu zako mwenyewe. # Bwana alinipa ushindi Yeftha anaonesha kuwa Bwana aliwapa ushindi watu wa Gileadi juu ya Waanoni. # akapigana na Efraimu Yeftha na watu wote wa Gileadi walipigana na Efraimu. # Kwa nini mmekuja kupigana nami leo? Yeftha inamaanisha watu wa Gileadi. "Kwa nini mmekuja kupigana nasi" # Ninyi Wagileadi ni wakimbizi "ninyi Wagileadi hapa sio kwenu. Mmekuja hapa kuishi tuu" # kupita ili kupigana na wana wa Amoni Hii inamaanisha walipigana na Waamoni walipokuwa wakipita Amoni. # Wagileadi "watu kutoka Gileadi" # katika Efraimu-katika Efraimu na Manase "katika mji wa Efraimu na manase" au "katika nchi ya Efraimu na Manase"