# kupitia Heresi Hili ni jina la barabara inayopita katikati ya milima miwili. # Akamkimbilia kijana mmoja "akakutana na kijana mmoja" # kutafuta ushauri kutoka kwake "Alimuomba amtajie majina ya viongozi wote wa mji" # Watu sabini na saba "watu 77"