# Gideoni akapanda "Gideoni" inawakilisha askari wake wote. "Gideoni na askari wake" # Akalishinda "Gideoni na jeshi lake wakalishinda" # Noba na Yogbena Haya ni majina ya miji. # Zeba na Salmuna Haya ni majina ya wanaume. # Hofu Uwoga uliopitiliza unaosababisha mtu akashindwa kufikiri vizuri.