# Akaja juu ya Gideoni. "kumtawala Gideoni" # Jamaa ya Abiezeri. Hili ni kundi la watu wa Abiezeri. # ili wamfuate "ili wamfuate katika vita" # na wao pia, waliitwa nje kumfuata "waliitwa nje wamfuate" # Asheri, Zabuloni, na Naftali Yote haya yanawakilisha watu wa kila kabila. "kabila la Asheri, Zebuloni na Naftali"