# efa ya unga Kama kuna ulazima wa kutumia njia za kisasa za kuonesha vipimo, hii ni moja wapo ya kufanya hivyo. "lita 22 za unga" # Mchuzi Maji yaliyochanganywa na mboga kama vile nyama na kupikwa pamoja. # kumletea "kumletea malaika wa Bwana" # Malaika wa Mungu. Hii ni sawa na malaika wa Bwana. "Mungu aliye kama mfano wa Malaika"