# Aliweka mkono wake kwenye kigingi cha hema "Yaeli alitoa kigingi cha hema kwa mkono wake wa kushoto" # kigingi cha hema Kipande cha mbao au chuma, kama sindano kubwa ambayo inachomekwa chini na kushikilia kona ya hema. # na mkono wake wa kuia katika nyundo ya mfanyakazi "akachukua nyundo kwa mkono wake wa kulia" # Nyundo Kifaa kizito kinachotumika kugongea kigingi cha hema chini. # Sisera Hili ni jina la mwanaume # Akalala Bila nguvu # aliuawa kwa ukatili "alimuua" au "alikufa"