# Siku hiyo Maana halisi ya sentensi hii yaweza kuwa "Siku hiyo Waisraeli walilishinda jeshi la Yabini" # Debora Hili ni jina la mwanamke. # Baraka ... Abinoamu Haya ni majina ya wanaume. # watu wanapojitolea kupigana vita "watu walipokubali kupigana vitani"