# Mwamuzi Mungu alichagua mwamuzi kuwaongoza wana wa Israeli katika nyakati za shida baada ya kuingia katika nchi ya ahadi na kabla ya kuwa na wafalme. mara nyingi waamuzi waliwaokoa Waisraeli toka kwa maadui. # Shamgari Ni jina la mwanaume. # Athani Ni jina la mwanaume. # konzo "kusogeza" au "kuongoza" # Pia aliwaokoa Israeli kutoka kwenye hatari. "Hatari" inamaanisha maadui waliotaka kuwadhuru Waisraeli.