# walipomwomba Bwana Hii inamaanisha walipaza sauti kwa nguvu kwa mtu aliye mbali. pia inaweza kumaanisha mtu anaomba msaada hasa kwa Mungu. # akamwinua mtu Bwana akamchagua mtu kufanya kazi maalumu kwa ajili yake. # Ehudi ... Gera Haya ni majina ya wanaume. # mtu shoto shoto. Ehudi alikuwa na uwezo wa kutumia upanga kwa mkono wa kushoto.