# Bethshemeshi ... Bethanathi. Hata ni majina ya miji # wenyeji wa Bethshemeshi na Bethanathi walilazimishwa kufanya kazi ngumu kwa Naphthali. Hii inaweza kutafsiriwa kama "watu wa Naftali walilazimishwa na watu wa Bethshemeshi naa Bethanathi kuwafanyia kazi kama watumwa.