# Asheri hakuwafukuza "Asheri" linamaanisha watu au askari wa kabila la Asheri. # Aka ... Sidoni ...Alabu, Akzib, Helba, Afeka ... Rehobu. Haya ni majina ya miji katika nchi ya Kanaani.