# Zebuloni hakuwafukuza "Zebuloni" ni watu au askari wa kabila la Zebuloni. # Kitroni ... Nahaloli Haya ni majina ya mji katika nchi ya Kanaani. # lakini Zebuloni akawalazimisha "Zebuloni" ni watu wa kabila la Zebuloni. # kazi ngumu "kazi ngumu"