# Nyumba ya Yusufu Hapa "Nyumba" inamaanisha uzao. Manase na Efraimu walikuwa watoto wa Yusufu na "nyumba ya Yusufu" inaweza kuwa na maana ya uzao wa Manase na Efraimu. "uzao wa Manase na Efraimu" # kushambulia Betheli "Betheli" inamaanisha watu wanaoishi Betheli. # peleleza kupata taarifa kwa siri # jiji lililoitwa Luzu Hii ni taarifa. watu wengine waliosoma kitabu hiki kwa mara ya kwanza yamkini walisikia kuhusu Luzu ila hawakufahamu kuwa ni sawa na mji ulioitwa Betheli. # Wapelelezi Watu wanaopata taarifa kwa siri