# Zaidi ya yote "Hii ni muhimu" au "Hasa" # ndugu zangu "waamini wenzangu" # msiape "kuapa" ni kusema kuwa utafanya jambo au jambo fulani ni kweli na kuwa na wajibu kwa mamlaka za juu. "Msiape" # aidha kwa mbingu ama kwa nchi Maneno "mbingu" na "nchi" linamaanisha mamlaka ya kiroho na kibinadamu zilizopo mbinguni na duniani. # "ndiyo" yenu na imaanishe "ndiyo" na "hapana" yenu na imaanishe "hapana Fanya ulichosema utafanya bila kuapa" # msije kuangukia chini ya hukumu Kuhukumiwa inazungumzwa kwa mtu aliyeanguka na kulemewa na kitu kizito. "Hivyo Mungu hatawahukumu"