# Wataleta Hapa "wataleta" ina maana ya wageni ambao walisalia na kushuhudia mataifa. Watarudi Yerusalemu na walio uhamishoni wa Israeli. # mlima mtakatifu "Mlima mtakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu. "katika mlima mtakatifu wote wa Yahwe"