# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza. # Wanajiweka wakfu "Wanajiweka" ni wale ambao huabudu Yahwe lakini wanaenda kinyume na sheria zake. # kuingia katika bustani Hii ni sehemu ambapo watu wataenda kuabudu sanamu. # yule aliye katikati Hii inafafanua kionogzi wa wale ambao huenda kuabudu sanamu. # tamko la Yahwe Hii inaweza kuandikwa upya ili kwamba nomino dhahania "tamko" linaelezwa kama kitenzi "kutamka" au "alisema kwa dhati". "hiki ndicho Yahwe wa majeshi alvyotamka" au "hiki ndicho Yahwe wa majeshi alivyosem kwa dhati"