# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza kwa wale wa Israeli ambao huabudu sanamu. # atabarikiwa na mimi, Mungu wa ukweli Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mimi, Mungu ambaye huzungumza ukweli daima, nitambariki" # shida za awali zitasahaulika ... zitafichwa Vishazi hivi inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "watasahau shida zao za awali, kwa maana shida hizi zitatoweka katika kumbukumbu zangu" # zitafichwa kutoka machoni pangu "kufichwa machoni pangu" inawakilisha uzingatiaji na kumbukumbu ya Yahwe. "Hata sitawaza juu yao tena"