# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza. # milima yangu Hii ina maana ya maeneo ya juu kabisa ya Yerusalemu na Yuda yote. # Sharoni Hili lilikuwa eneo lenye rutuba la malisho. # bonde la Akori Hili ni jina la bonde ambalo huenda linaweza kukiimbia kutoka Yerusalemu mpaka kusini mwa Yeriko. Hili pia lilikuwa eneo lenye rutuba la malisho.