# Nina zabibu zilizokanyagwa Hapa "Nina" ina maana ya Yahwe. Picha hii ina maana ya Yahwe kuangamiza adui zake. # Kwa maana ninatazamia siku ya kisasi Hapa "siku" ina ya kipindi cha muda. # kisasi Yahwe ataadhibu kwa njia sahihi kuleta haki. Aina yake ya ukombozi inatofautiana na kisasi cha mtu. # mwaka wa ukombozi Hapa "mwaka" ina maana ya muda bayana uliowekwa na Yahwe kurejesha Israeli.