# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza. # makosa yetu mengi Hapa "yetu" ina maana ya Isaya na watu wa Israeli. # mbele zako Hapa "yako" ina maana ya Yahwe. # dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu Isaya anafafanua dhambi kama mtu anavyokwenda mbele za Mungu kutamka ya kwamba watu wana hatia. # kwa maana makosa yetu yapo pamoja nasi "pamoja nasi" inawakilisha kutambua uwepo wao. "kwa maana tunatambua makosa yetu"