# Lakini waovu ni kama bahari inayorusharusha ... takataka na matope Hii inalinganisha waovu na maji yenye vurugu katika ufuko yanayofanya maji kuwa machafu.