# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Sijazungumza kwa siri Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "Nimezungumza dhahiri na wazi" # amenituma Hapa "mimi" ina maana ya mtumishi asiyejulikana wa Yahwe, huenda Isaya au Koreshi au Masihi alyeahidiwa.