# Kauli Unganishi Yahwe anaendelea kuzungumza na Babeli kuhusu anguko lake kana kwamba alikuwa malkia ambaye ameaibishwa. # Ng'ang'ania kurusha laana zenu ... huenda utatisha mbali maafa Yahwe anakejeli Babeli kwa kumwambia kuendelea kufanya uchawi wake kuweka mambo mabaya mbali, lakini anajua ya kuwa haitawasaidia.