# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # chungu kingine cha duniani kati ya vyungu vya duniani katika ardhi Yahwe anazungumza juu yake kana kwamba alikuwa mfinyanzi, na kwa yule ambaye angebishana naye kana kwamba mtu huyo na binadamu waliosalia waliikuwa vyungu vya udongo. "kama kipande kimoja cha ufinyanzi katika vipande vingi vingine vya ufinyanzi vilivyosambaa juu ya ardhi" # chungu cha dunia Maana zaweza kuwa 1) "chungu cha udongo" au 2) "kipande kilichovunjika cha ufinyanzi wa udongo". # Je! udongo husem kwa mfinyanzi ... juu yake'? Yahwe anauliza swali hili kukarpia wle ambao hubishana naye juu ya kile anachofanya. "Udongo haupaswi kusema kwa mfinyanzi ... juu yake!"