# Mkombozi Mkombozi wa Israeli # yeye aliyekuumba katika tumbo Yahwe anazungumzia kuumba taifa la Israeli kana kwamba ilikuwa kuunda taifa kama mtoto katika tumbo la mama yake. "yeye aliyekuumba, kama navyouumba mtoto katika tumbo" # ambaye yeye peke yake alitandaza mbingu Yahwe anazungumzia kuumba mbingu kana kwamba ilikuwa nguo ambayo ilitandazwa. # ishara Hizi ni ishara ambazo watu walitumia kujaribu kutabiri siku za usoni. # waongea watupu Hii ina maana ya watu ambao husema vitu ambavyo havina maana.