# kwa kamba Kamba iliyotumika kuchora mstari umbo la sanamu katika mbao. # sindano ya santuri Hiki ni chombo chenye ncha kali kukwaruza mbao ili fundistadi aweze kuona wapi pa kukata. # bikari Hiki ni chombo chenye ncha sehemu mbili ambacho hutandazwa kusaidia kuweka alama katika mbao kutengeneza sanamu.