# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza. # hakuna mmoja kati yao "hakuna sanamu moja" # viumbe vyao vya chuma vilivyochongwa ni upepo na utupu Yahwe anazungumzia kutokuwa na thamani kwa sanamu kana kwamba sanamu ni upepo na si kitu kabisa. "sanamu zao hazina thamani"