# Taaarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza. # Nimemwinua juu mmoja Yahwe anazungumzia kumteua mtu kana kwamba alimwinua mtu huyo juu. "Nimemteua mmoja" # kutoka katika kuchomoza kwa jua Hii ina maana ya mashariki, upande ambapo jua linachomoza. "kutoka mashariki" # yeye anayeliita jina langu Maana zaweza kuwa 1) ya kwamba mtu huyu humwomba Yahwe kwa ajili ya mafanikio yake au 2) ya kwamba mtu huyu humwabudu Yahwe. # atawakanyaga watawala Kushinda watawala wa mataifa mengine inazungumziwa kana kwamba likuwa kuikanyaga chini ya miguu. "atawashinda watawala hawa" # kama mfinyanzi ambaye kuknyaga juu ya udongo Yahwe analinganisha njia ambayo mtu huyu atakanyaga watawala wengine kwa njia ambayo mfinyanzi hukanyaga juu ya udongo kuchanganya kwa maji. # Ni nani aliyetangaza hili kutoka mwanzo, ili tuweze kujua? Kabla ya muda huu, ili tuweze kusema, "Yupo sahihi"? Yahwe anatumia maswali haya ya balagha kudhihaki sanamu amabazo watu huabudu. Jibu linalodokezwa ni 1) ya kwamba sanamu hazijafanya mambo haya na 2) ya kwamba Yahwe ndiye ambaye alifanya mambo haya. "Hakuna kati ya sanamu ametangaza hiki kutoka mwanzo, ili tuweze kujua. Na hakuna kati yao aliyetangaza hili kabla ya wakati, ili tuweze kusema, "Yupo sahihi". # "Kweli, hakuna kati ya sanamu aliagiza hivyo. Kweli, hakuna mtu aliyesikia nyie sanamu mkisema chochote" "Kweli, hakuna kati ya sanamu alagiza hivyo. Kweli, hakuna mtu aliyesikia nyie sanamu mkisema chochote"