# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza. # Visiwa hivi ... mwisho wa dunia Misemo hii inawakilisha watu ambao wanaishi maeneo hayo. "Watu ambao huishi katika vsiwa ... watu ambao huishi katika mwisho wa dunia" # Visiwa Hii ina maana ya watu ambao huishi katika visiwa na katika nchi zinazopatikana au ng'ambo ya pili ya Bahari ya Mediteranea. # mwisho wa dunia Sehemu katika dunia ambazo zipo mbali sana na zinazungumziwa kana kwamba ni sehemu ambapo dunia huwa mwisho. "sehemu za mbali za dunia" # vinakaribia na kuja Hizi mbili zina maana ya kwamba watu hujikusanya pamoja. "wanakuja pamoja" # fuawe kipande cha chuma ambacho mtu kuchonga chuma kwa nyundo # kusema juu ya kuchomelea Hapa neno "kuchomelea" lina maana ya njia ya kukaza dhahabu kwa mbao pale ambapo watumishi humaliza kutengeneza sanamu. # Wanaikaza kwa misumari ili kwamba isianguke Hapa "isianguke" ina maana ya sanamu ambayo walitengeneza.