# Maelezo ya Jumla Hezekia anaendelea maombi yake ya maandishi. # niokoe Hii ina maana ya kuokolewa kutoka katika kufa. Inawez akuwekwa wazi zaidi. "niokoe katika kufa" # tutashangilia Hapa "tutashangilia" ina maana ya Hezekia na watu wa Yuda.