# neno la Yahwe likaja Hii ni lahaja ambayo inatumiwa kutambulisha kitu ambacho Mungu alimwambia manabii wake au watu wake. "Yahwe alizungumza ujumbe huu" au "Yahwe alizungumza maneno haya" # Tazama Hii ni lahaja. Inatumika kuuliza wasikilizaji kuzingatia kwa makini kwa kile kinachosemwa. "Sikiliza" # miaka kumi na tano "miaka 15" # mkono wa mfalme wa Ashuru Hapa "mkono" wa mfalme una maana ya nguvu yake. "nguvu ya mflame wa Ashuru"