# Maksai pori watachinjwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mimi, Yahwe nitachinja maksai pori" # Nchi yao italewa kwa damu Hii inaelezea kiwango cha damu ambacho italowa katika ardhi kwa kulinganisha nchi na mtu mlevi. "Nchi yao italowa kwa damu" # vumbi lao lilifanya nono kwa unene Hapa "vumbi" ina maana ya udongo juu ya ardhi. Hii inaelezea kiwango cha mafuta ambacho kitalowanisha katika udongo kwa kumlinganisha kwa mtu ambaye amenenepa kwa kula sana mafuta ya mnyama. "udongo utakuwa umejaa mafuta ya wanyama"