# Hii pia huja ... bora katika hekima Hii inahitimisha mfano ulioanza katika 28:23. Somo linalodokezwa la mfano ni kwamba wakulima wana hekima ya kutosha kusikiliza maagizo ya Yahwe kuhusu kupanda na kupura. Lakini viongozi wa Yerusalemu ni wapumbavu kwa kutosikia maagizo ya Yahwe ya kwamba anazungumza kupitia Isaya. # Yahwe wa majeshi Yahwe wa majeshi wa Israeli.