# Tazama "Sikiliza hili" # Nitatandaza Sayuni jiwe la msingi ... msingi wa hakika Yahwe kumtuma mtu mwenye nguvu kusaidia watu wa Israeli inazungumziwa kana kwamba Yahwe anajenga msingi wa nguvu kwa ajili ya jengo. # jiwe lililojaribiwa "jiwe ambalo ni thabiti" # msingi wa hakika "mhimili imara" # Yule ambaye huamini hataaibika "Yeyote ambaye huamini katika jiwe hili la msingi hatajilaumu"