# walikuangalia wewe Hapa "walikuangalia" ina maana ya watu wa Israeli. Hii ingeweza kujumuisha Isaya. "tuliangalia kwako" # walikuangalia wewe Lahaja hii ina maana walimuuliza Yahwe kwa msaada. # nidhamu yako ilipokuwa juu yao Nomino dhahania "nidhamu" inaweza kuwekwa kama kitenzi. "unapowaadhibisha" # Kama mwanamke mwenye mimba .. anapolia katika maumivu yake ya uchungu Hii inalinganisha watu kwa mwanamke kuzaa. Hii inasisitiza mateso na kulia kwao Yahwe alipowaadhibisha"