# Taarifa ya Jumla Isaya anaendelea kufafanua kipindi katika siku za usoni ambapo Mungu atahukumu dunia. Manabii mara nyingine hufafanua tukio la siku za usoni kama kitu cha nyuma au cha sasa. Hii inasisitiza tukio kufanyika kwa uhakika. # vigoma ... kinubi Hivi ni vyombo vya muziki.