# Hili ni neno "Huu ni ujumbe". Hii ina maana ya kile kilichosemwa katika 15:1-16:12 # kuhusu Moabu Neno "Moabu" lina maana ya watu wa Moabu. # utukufu wa Moabu utatoweka "Nchi ya Moabu haitakuwa na utukufu tena"