# Kauli Kiunganishi Yahwe anaendelea kuzungumza. # falme zinazoshangaza zaidi Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ufalme ambao watu hushangaa zaidi" # ufahari wa kiburi cha Wakaldayo Nomino "kiburi" inaweza kuelezwa kwa kivumishi "kujivuna". "mji mzuri ambao Wakaldayo wanajivunia" # itapinduliwa "itaangamizwa" # kama Sodoma na Gomora "kama Sodoma na Gomora walivyopundiliwa". # haitakaliwa au kuishi kwake Vitenzi hivi viwili vina maana moja. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Hakuna mtu ataishi ndani yake" # kwake kutoka kizazi mpaka kizazi Msemo "kizazi mpaka kizazi" una maana ya vizazi vyote vya watu ambavyo vitaishi katika siku za usoni. "milele" "wakati wowote tena" # Mwarabu Hii ina maana ya watu wa Kiarabu kwa ujumla, sio mtu mmoja. "Waarabu" au "watu wa Kiarabu"