# iombe kwa kina au katika maref ya juu Yahwe anatumia neno "kina" na "urefu" kumaanisha Ahazi anaweza kumuuliza jambo lolote. # kina ... marefu Nomino dhahania "kina" na "urefu" inaweza kutafsiriwa kwa vihusishi. "sehemu mbali chini yako ... sehemu mbali juu yako" # sitaiomba "sitamuomba Yahwe kwa ajili ya ishara"